NYUMBA 2 ZINAUZWA KWA PAMOJA (SQM 400) MBEZI MWISHO-DAR,NIPIGIE: 0718 926951

Mbezi, Ubungo, Dar es Salaam

TZS 49,000,000

FOR SALE
Thumb 0
Thumb 1
Thumb 2
Thumb 3
Thumb 4
Thumb 5
Thumb 6
5 Beds
2 Baths
400.00 sqm
House
Description
*NYUMBA 2 ZINAUZWA KWA PAMOJA (20m*20m)*(≈SQM 400)*

*BEI: MIL 49 (MAONGEZI YAPO KIDOGO)

*MAHALI: MBEZI MWISHO, DAR

*NYUMBA KUBWA: INA VYUMBA 3 VYENYE WAPANGAJI NA SITTING ROOM NA VYOO VYA NJE

*NYUMBA NDOGO: INA VYUMBA 2 VYA NJE VYENYE WAPANGAJI.

*SIFA YA NYUMBA: NYUMBA IPO KARIBU NA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD NA IPO KARIBU NA STENDI YA KUU YA DALALA YA MBEZI MWISHO, NI MWENDO WA DAKIKA 10 TU KWA MIGUU KUTOKA BARABARA KUU,HUDUMA ZOTE MUHIMU ZINAPATIKANA

*UKUBWA WA ENEO: ≈ 20m * 20m (SQM 400)

*UMILIKI: HATI YA SERIKALI ZA MITAA

*VISITING CHARGE: 30,000/=

*MAWASILIANO*
0718 926951
0615 926951

*:::Naongea na Mmiliki, Post Popote:::*

*----Wekeza leo ili uje kuuza hela ndefu baadae-----*
Amenities & Features
Water Supply
Electricity (LUKU)
Comments (0)
Leave a Comment

No comments yet.