Chumba sebule choo 120000 Kimara Dar es salaam

Kimara stop over, Kimara, Dar es Salaam

TZS 120,000 /mo

FOR RENT
Thumb 0
Thumb 1
1 Beds
Room
Description
CHUMBA KINAPANGAWA - KIMARA

Sifa za Chumba:

Chumba kimoja na Sebule (1 Bedroom & Sitting Room)

Choo cha nje (Mnashea watu 2 tu)

Maji na Umeme mnashea watu 2 tu

Ipo ndani ya fence (Mpo wapangaji 2 tu kwenye kiwanja/nyumba)

Eneo & Ufikaji:

Eneo: Ipo kati ya Kimara Stop Over na Suka

Umbali: Dk 15 tu kwa miguu kutoka barabarani (Stop Over au Suka)

Gharama:

Kodi: TSh 120,000/= kwa mwezi

Gharama ya kuona nyumba (Service charge): TSh 15,000/=
Amenities & Features
Water Supply
Electricity (LUKU)
Comments (0)
Leave a Comment

No comments yet.

Similar Properties