Nyumba Inauzwa Kisemvule Kibamba (Mwayani) | Milioni 27

Kisemvule, Mkuranga, Pwani

TZS 27,000,000

FOR SALE
Thumb 0
Thumb 1
Thumb 2
Thumb 3
2 Beds
1 Baths
289.00 sqm
House
Description
Sifa za Nyumba:

Vyumba 2 vya kulala

Sebule kubwa (Sitting Room) na Sehemu ya kulia chakula (Dining Room)

Jiko lenye nafasi kubwa

Choo cha Public cha ndani (Kikubwa)

Veranda kubwa ya kupumzikia

Tiles ndani, Gypsum Board, na Rangi safi

Umeme upo, Maji ya bomba na Kisima yapo

Ukubwa wa Kiwanja na Hati:

Ukubwa wa Eneo: 289 sqm (Futi 53 × 53)

Hati: Hati ya mauziano ya Serikali ya Mtaa (Haina mgogoro wowote)

Eneo na Ufikaji:

Eneo: Kisemvule (Mtaa wa Kibamba, Kitongoji cha Mwayani Center), Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani

Barabara: Barabara nzuri ya gari inafika mpaka nje ya nyumba

Gharama na Mawasiliano:

Bei: TSh 27,000,000/= (Milioni 27 - Mwenyewe ana shida ya haraka, maongezi kidogo yapo)

Piga Simu / WhatsApp: 0712020231 / 0724137770
Amenities & Features
Water Supply
Electricity (LUKU)
Comments (0)
Leave a Comment

No comments yet.

Similar Properties

Related MKURANGA
Related Mkuranga
Related Mkuranga
TZS 18,000,000
10 Acres at for sale Kiziko Mkuranga
0 0 41000.00
Related Mkuranga
Related MKURANGA
TZS 32,000,000
NYUMBA INAUZWA IPO KISEMVULE
3 1 400.00
Related MKURANGA
Related Mkuranga