Sifa za Nyumba:
Zipo nyumba 2 kwenye kiwanja kimoja
Kila nyumba ina vyumba 2 vya kulala (Chumba kimoja ni Master Bedroom)
Zina full A/C pande zote
Tiles, Gypsum, na urembo wa kisasa
Zipo ndani ya fensi moja yenye ulinzi na amani
Umeme na Maji yapo tayari
Fursa ya Uwekezaji: Zinafaa kwa kuishi mwenyewe, kupangisha, au kufanya biashara ya Airbnb
Ukubwa wa Kiwanja na Hati:
Ukubwa wa Eneo: 400 sqm
Hati: Hati ipo tayari kukabidhiwa
Eneo:
Eneo: Madale Mivumoni
Gharama na Mawasiliano:
Bei: TSh 175,000,000/= (Milioni 175)
Piga Simu / WhatsApp: 0740771338
No comments yet.