Nyumba nzuri ya Kupanga Mbezi Mwisho | 3-Bedroom Apartment

Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam

TZS 300,000 /mo

FOR RENT
Thumb 0
Thumb 1
Thumb 2
Thumb 3
Thumb 4
Thumb 5
Thumb 6
3 Beds
1 Baths
House
Description
Sifa za Nyumba:

Vyumba 3 vya kulala (Chumba kimoja ni Master Bedroom)

Sebule kubwa na nzuri

Jiko lenye nafasi kubwa na Stoo

Inajitegemea umeme (Luku) na maji yanaflow ndani

Ipo ndani ya fensi ya waya (Mazingira mazuri)

Uwanja mkubwa na parking space ya kutosha

Mafundi wapo wanaweka pave blocks sasa hivi

Eneo na Ufikaji:

Eneo: Mbezi Mwisho (Njia ya Mpigi)

Umbali: Km 1.5 kutoka stendi/barabara kuu

Barabara: Ni nzuri na rafiki kwa aina zote za maghari

Gharama na Mawasiliano:

Kodi: TSh 300,000/= kwa mwezi (Malipo ya miezi 3)

Service Charge (Gharama ya kuona): TSh 20,000/=

Malipo ya Dalali: Kodi ya mwezi 1 (TSh 300,000/=)

Piga Simu / WhatsApp: 0612155147 / 0733002035 / 0755793247
Amenities & Features
Water Supply
Electricity (LUKU)
Parking
Fenced
Comments (0)
Leave a Comment

No comments yet.