Nyumba nzuri ya Kupanga Lumo | Single Master na Jiko (A/C & Feni)

Mwisho wa Lami, Lumo, Dar es Salaam

TZS 200,000 /mo

FOR RENT
Thumb 0
Thumb 1
Thumb 2
Thumb 3
Thumb 4
Thumb 5
Thumb 6
Thumb 7
Thumb 8
1 Beds
1 Baths
House
Description
Sifa za Nyumba:

Chumba kimoja kikubwa cha kulala (Master Bedroom - yenye choo kikubwa ndani)

Jiko kubwa la kisasa

Kimefungwa Full A/C na Feni

Umeme wako mwenyewe (Luku inajitegemea)

Maji ni BURE! Yanatililika chooni na jikoni

Ipo ndani ya geti yenye parking space

Utulivu mkubwa (Wapangaji 2 tu kwenye compound)

Eneo na Ufikaji:

Eneo: Lumo Mwisho wa Lami (Karibu na Buza)

Ufikaji: Dakika 6 tu kwa miguu kutoka stendi (Bodaboda ni TSh 1,000/=)

Barabara: Barabara nzuri ya lami mpaka karibu na nyumba

Gharama na Mawasiliano:

Kodi: TSh 200,000/= kwa mwezi (Malipo ya miezi 6)

Service Charge: TSh 15,000/=

Malipo ya Dalali: Kodi ya mwezi 1 (TSh 200,000/=)

Piga Simu / WhatsApp: 0677784091
Amenities & Features
Water Supply
Electricity (LUKU)
Air Conditioning
Parking
Fenced
Comments (0)
Leave a Comment

No comments yet.

Similar Properties

Related Tabata
Related Kinondoni
TZS 1,500,000/mo
Stand alone for rent
3 3 400.00
Related Ubungo
TZS 500,000/mo
Kimara Temboni
2 2 0.00
Related Mbezi
TZS 250,000/mo
Nyumba ya Kupanga Mbezi Dsm
3 1 0.00
Related Tanga Mjini
TZS 200,000/mo
Nyumba inapangishwa Tanga Mjini
10 0 0.00