Chumba master kubwa sebule kubwa na jiko 320,000 Kimara Temboni

Kimara Temboni, Ubungo, Dar es Salaam

TZS 320,000 /mo

FOR RENT
Thumb 0
Thumb 1
Thumb 2
Thumb 3
Thumb 4
Thumb 5
Thumb 6
Thumb 7
Thumb 8
Thumb 9
1 Beds
1 Baths
House
Description
Nyumba nzuri ya Kupanga Kimara Temboni | 1-Bedroom Apartment

Sifa za Nyumba:

Chumba kimoja cha kulala (Master Bedroom kubwa yenye kabati kubwa la nguo)

Sebule kubwa na ya kisasa

Jiko zuri kubwa lenye makabati ya juu na chini

Hita ya maji ya moto na baridi (Water heater)

Tiles, Gypsum, na madirisha ya Aluminium

Umeme wako mwenyewe (Luku yako)

Maji ya DAWASA yanayoflow chooni na jikoni

Ipo ndani ya fensi yenye Electronic Fence, Paving Blocks, Garden nzuri, na Parking kubwa

Inakuwa wazi leo jioni (Kuja kuiona na kulipia ni ruksa)

Eneo na Ufikaji:

Eneo: Kimara Temboni

Umbali: Dakika 10 tu kwa miguu kutoka Morogoro Road

Usafiri: Bajaji ni TSh 700/=

Gharama na Mawasiliano:

Kodi: TSh 320,000/= kwa mwezi (Malipo ya miezi 6)

Service Charge: TSh 15,000/=

Piga Simu / WhatsApp: 0612155147 / 0733002035 / 0755793247
Amenities & Features
Water Supply
Electricity (LUKU)
Parking
Fenced
Comments (0)
Leave a Comment

No comments yet.