Nyumba Inauzwa Kibaha Picha ya Ndege | Inajumuisha Boma la Fremu 4 (Milioni 45)

Picha ya Ndege, Kibaha, Pwani

TZS 45,000,000

FOR SALE
5 Beds
506.00 sqm
House
Description
Sifa za Nyumba na Kiwanja:

Vyumba 5 vya kulala

Sebule kubwa (Sitting Room)

Boma la fremu 4 za biashara

Umeme tayari upo ndani

Maji ya DAWASA yameshavutwa tayari

Ukubwa wa eneo: Mita 22 kwa 23

Eneo na Ufikaji:

Eneo: Kibaha, Picha ya Ndege

Umbali: Mita 250 tu kutoka Barabara Kuu ya Morogoro

Ufikaji: Dk 2-3 tu kwa miguu ukishuka kwenye daladala (Barabara ya kutembea kwa miguu)

Gharama na Mawasiliano:

Bei: TSh 45,000,000/= (Milioni 45 - Maongezi yapo)

Piga Simu / WhatsApp: 0757 110726 / 0715 110726
Amenities & Features
Water Supply
Electricity (LUKU)
Comments (0)
Leave a Comment

No comments yet.